Azkar ya Kiislamu

1Dua za kuamka kutoka usingizini.22 – Dua ya kuvaa nguo3Dua ya kuvaa nguo mpya .4Dua unayo muombea aliyevaa nguo mpya.5Dua ya kuvua nguo.6Dua ya kuingia chooni.7Dua ya kutoka chooni.8Dua ya kabla ya kutawadha.9Dua baada ya kutawadha.10Dua ya kutoka nyumbani.11Dua ya kuingia nyumbani.12Dua ya kwenda Msikitini.13Dua ya kuingia Msikitini.14Dua ya kutoka Msikitini.15Dua za Adhan.16Dua za kufungulia Salah.17Dua ya wakati wa kurukuu18Dua ya kuinuka kutoka kwenye rukuu.19Dua ya wakati wa kusujudu.20Dua za kikao kati ya sijda mbili.21Dua za sijda ya kisomo.22Dua ya Tashahhud23Kumsalia Mtume ( ص ) baada ya tashahhud.24Dua baada ya Tashahhud.25Nyiradi baada ya kutoa Salamu (kumaliza Swala).26Dua ya Swalatul-Istikhara (swala ya kutaka muelekezo au kukata shauri katika jambo).27Nyiradi za asubuhi na jioni.28Nyiradi za kulala.29Dua anapojigeuza usingizini usiku.30Dua ya wasiwasi usingizini au kusikia uoga na mfazaiko.31Anayoyafanya mwenye kuota ndoto njema au mbaya.32Dua ya Qunut ya Witri33Dua baada ya Salamu katika Swala ya Witri.34Dua ukiwa na hamu na huzuni.35Dua ya kupatwa na janga au balaa.36Dua ya anaekutana na adui au mwenye kutawala.37Dua ya mwenye kuogopa dhulma ya mwenye kutawala.38Kuomba dua dhidi ya adui.39Dua ya anaewaogopa watu.40Dua ya aliyepatwa na shaka katika imani yake.41Dua ya kulipa deni.42Dua ya aliyeingiwa na wasiwasi katika Swala yake au kisomo chake.43Dua ya ambaelimekua gumu kwake jambo.44Analosema aliyefanya dhambi.45Dua ya kumfukuza shetani na wasiwasi wake.46Dua anayoisoma mtu akitokewa na jambo asiloliridhia au akishindwa kufanya jambo.47Pongezi ya kupata mtoto na jawabu yake.48Dua inayo kingwa nayo watoto.49Dua ya kumtembelea mgonjwa.50Fadhila za kumtembelea mgonjwa.51Dua anayoomba mgonjwa aliyekata tamaa na kupona.52Kumlakinia anaetokwa na roho.53Dua ya aliyepatwa na msiba.54Dua ya kumfunga macho maiti.55Dua ya kumuombea maiti wakati anaposwaliwa.56Dua ya maiti ya mtoto mchanga wakati wa kumswalia.57Dua ya kumtaazi (kumhani) aliyefiliwa.58Dua ya kumuingiza maiti ndani ya kaburi.59Dua baada ya kumzika maiti.60Dua ya kuzuru makaburi.61Dua ya upepo mkali.62Dua ya radi.63Dua ya kuomba mvua.64Dua ya mvua inaponyesha.65Dua baada ya mvua.66Dua ya kutaka mvua iondoke (wakati itakapoleta madhara).67Dua ya kuona mwezi unaponaama (unapo andaama)68Dua ya wakati wa kufungua saumu.69Dua kabla ya kula.70Dua ya baada ya kula.71Dua ya mgeni kwa aliyemkaribisha chakula.72Dua ya kumuombea aliyekupa kinywaji au anaetaka kukupa.73Dua ya kumuombea uliye futuru kwake.74Dua ya aliealikwa chakula lakini akawa amefunga.75Anachosema aliyetukanwa hali ya kuwa amefunga.76Dua ya kuomba unapoona matunda yanachipua kwenye miti.77Dua ya kupiga chafya (kuchemua).78Anachoambiwa kafiri anapopiga chafya (chemua).79Dua ya kumuombea aliyeowa.80Dua anayoomba bwana harusi, au aliyenunuwa chombo cha kupanda (kama mnyama au gari).81Dua kabla ya kujimai.82Dua ya wakati mtu amekasirika.83Dua anayoomba mwenye kumuona kilema.84Utajo unaosomwa katika kikao.85Kafara ya kikao.86Kumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu.87Dua ya kumuombea aliyekufanyia wema.88Dua ya kujilinda na Dajjal.89Dua ya kumuombea anaekwambia anakupenda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.90Dua ya kumuombea aliyekusaidia kwa mali.91Dua unapolipa deni.92Dua ya kuogopa kuingia katika ushirikina.93Dua kwa aliyesema Mwenyezi Mungu akubariki.94Dua ya kuchukia ndege mbaya.95Dua ya kupanda mnyama au chombo chochote cha kusafiria.96Dua ya safari.97Dua ya kuingia mjini au kijijini.98Dua ya kuingia sokoni.99Dua wakati mnyama alieupanda akileta tabu (au chombo cha safari).100Dua ya anaesafiri kuwaombea wakaazi.101Dua ya wakaazi wanayo muombea anae safiri.102Kumkumbuka Mwenyezi Mungu wakati wakupanda mlima na wakati wa kushuka.103Dua ya msafiri unapoingia usiku.104Dua ya msafiri akishuka sehemu wakati yuko safarini.105Dua ya msafiri akirudi kutoka safarini.106Anachosema mtu iliyemjia habari ya kufurahisha au ya kusikitisha.107Fadhila za kumswalia Mtume ( ص)108Fadhila za kueneza na kudhihirisha maamkuzi ya Kiislamu.109Namna ya kumrudishia salamu kafiri anapokusalimia.110Dua ukisikia mlio wa jogoo au wa punda.111Dua wakati wa kusikia mlio wa mbwa usiku.1121 1 2. Dua unayomuombea uliyemtukana.113Anachosema Muislamu akimsifu Muislamu mwenziwe.114Anachosema Muislamu akisifiwa.115Vipi ataleta Talbiyah aliyehirimia kwa Hijjah au Umrah.116Takbira atakapofika katika Hajar Al-Aswad.117Dua inayosomwa baina ya Nguzo ya Yemen na Hajar Al Aswad (katika Al Kaaba).118Dua ya kusomwa ukiwa umesimama katika mlima wa Swafaa na wa Maruah.119Dua ya siku ya Arafah.120Utajo katika Mash’arul Haraam (Muzdalifah)121Anaporusha kila kijiwe katika Jamarah (Nguzo).122Anachosema wakati wa kustaajabu na wa furaha.123Anachofanya akipata habari ya kufurahisha.124Anachosema na kufanya anaposikia maumivu mwilini.125Anachosema anaeogopa kupatwa na kijicho.126Kinachosemwa wakati wa mfazaiko.127Anachosema wakati wa kuchinja.128anachosema kwa ajili ya kurudisha (kuzuwia) vitimbi vya mashetani wabaya.129Kuomba msamaha na kutubia.130Fadhila za Tasbiih, na Tahmiid, na Tahliil, na Takbiir.131Vipi alikuwa Mtume (ص) akimsabbih Mwenyezi Mungu.132Katika mambo ya kheri na adabu kwa jumla.