Anachosema anaeogopa kupatwa na kijicho.

1

(244) ‘Akiona mmoja wenu kwa ndugu yake, au kwake, au mali yake, kinachomfurahisha, akiombee baraka. kwani kijicho ni kweli. (Kwa kusema: “Ewe Mwenyezi Mungu mbariki kwa hicho.“ ..... ..au aseme: “Haya ndio Mwenyezi Mungu aliyoyataka, hakuna nguvu ila za Mwenyezi Mungu.” )

Zaker copied