Anaporusha kila kijiwe katika Jamarah (Nguzo).

1

(239) Alikuwa Mtume ( ص ) kila anaporusha kijiwe katika Jamarah (nguzo) tatu akisema: “Mwenyezi Mungu ni Mkubwa” .....anapomaliza kurusha vijiwe saba katika Jamarah (nguzo) ya kwanza, alikuwa anasogea mbele kidogo, anasimama kuelekea Qibla, hali yakuwa ameiinuwa mikono yake, kisha anaanza kumuomba Mwenyezi Mungu. Alikuwa akifanya hivi katika Jamarah ya kwanza na ya pili pekee, ama ya tatu alikuwa hasimami bali akimaliza anaondoka.

Zaker copied