( 174 ) “Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwetu wala isiwe yenye kutuangamiza, Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwenye vichaka na milima, na mabonde, na kwenye mizizi ya miti.”