Dua ya aliyepatwa na shaka katika imani yake.

1

(133) Atataka (aombe) hifadhi ya Mwenyezi Mungu. -Aondowe kile kitu alicho kifanyia shaka. - kasha aseme:-

2

( 134 ) “Nimemuamini Mwenyezi Mungu na mitume yake.” Kisha asome aya hii katika Qur 'ani:-

3

( 135 ) “Yeye ndiye wa Mwanzo, na wa Mwisho, na aliye Wazi, na aliye Jificha, naye ni mjuzi wa kila kitu.”

Zaker copied