Dua ya kuinuka kutoka kwenye rukuu.

1

( 38 ) Mwenyezi Mungu amemsikia mwenye kumsifu.”

2

( 39 ) Ewe Bwana wetu ni zako sifa njema, sifa nyingi, nzuri, zenye baraka.”

3

( 40 ) “Zimejaa mbingu, na zimejaa ardhi, navili vyomo ndani yake sifa zako, nazimejaa (sifa zako) kwa ulicho kitaka baada yake, Wewe ni mstahiki wa sifa na utukufu, ni kweli aliyo yasema mja wako, na sote ni waja wako, Ewe Mwenyezi Mungu hapana anaeweza kukizuia ulichokitoa, na wala kutoa ulichokizuia, na wala haumnufaishi mwenye utajiri, kwani kwako Wewe ndio utajiri.”

Zaker copied