( 246 ) “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu huyu (mnyama) anatoka kwako na niwako, Ewe Mwenyezi Mungu nitakabalie (nikubalie).”