Dua ya kumtembelea mgonjwa.

1

Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu ( ص ) anapoingia kumzuru mgonjwa akimwambia: ( 147 ) “Hakuna neno, (ugonjwa) ni kusafishwa (na madhambi), anapopenda Mwenyezi Mungu.” Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ( ص ) ‘Hapana mja yoyote muislamu anaemtembelea mgonjwa ambae wakati wake wa kufa bado haujafika na akamuombea mara saba:

2

( 148 ) “Namuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu, Mola wa Arshi tukufu (akuponyeshe).” Isipokuwa Mwenyezi Mungu humponyesha mgonjwa huyo.

Zaker copied