( 21 ) Kwa Jina la Mwenyezi Mungu na rehema na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu, Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba katika fadhila zako, Ewe Mwenyezi Mungu nilinde kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma zako(aliye laaniwa)