Fadhila za kumtembelea mgonjwa.

1

(149) Imepokewa na Ali bin Abi Twalib amesema, nimemsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu (ص ) akisema: “Mtu anapomtembelea ndugu yake muislamu mgonjwa, basi hutembelea katika bustani ya peponi mpaka atakapo keti, na anapo keti hufunikwa, na rehma, ikiwa ni asubuhi, wanamtakia rehma malaika sabini elfu mpaka jioni, na ikiwa ni jioni wanamtakia rehema malaika sabini elfu mpaka asubuhi” .

Zaker copied