Dua ya kuingia mjini au kijijini.

1

( 208 ) “Ewe Mwenyezi Mungu, Mola wa mbingu saba na kila ambacho hizo mbingu zimekipa kivuli, na Mola wa ardhi saba na kila ambacho zimebeba, na Mola wa mashetani na walicho kipoteza, na Mola wa upepo na ulicho kibeba, nakuomba kheri ya kijiji hichi, na kheri ya watu wake, na kheri ya vilivyo ndani yake, najilinda kwako na shari ya kijiji hichi, na shari ya watu wake, na shari iliyomo ndani yake.”

Zaker copied