Dua ya baada ya kula.

1

( 180 ) “Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae amenilisha mimi chakula hichi na akaniruzuku pasina uwezo wangu wala nguvu zangu.”

2

( 181 ) “Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa nyingi, nzuri, zenye baraka ndani yake, zisizo toshelezwa, wala kuagwa wala kutoshwa nazo mtu, Ewe Mola wetu.”

Zaker copied