Dua ya kuomba mvua.

1

( 169 ) “Ewe Mwenyezi Mungu tunyesheleze mvua yenye kuokoa, nyingi, yenye kustawisha, yenye manufaa isiyo dhuru, ya haraka isiyochelewa.”

2

( 170 ) “Ewe Mwenyezi Mungu, tuokowe kwa kututeremshia nvua, ewe Mwnyezi Mungu tuokowe kwa kututeremshia nvua, ewe Mwenyezi Mungu, tuokowe kwa kuteremshia nvua.”

3

( 171 ) “Ewe Mwenyezi Mungu wanyesheleze waja wako, na wanyama wako, na eneza rehema zako, na fufua nchi yako iliyokufa.”

Zaker copied