Dua ya kuzuru makaburi.

1

( 165 ) Amani ishuke juu yenu watu wa nyumba za waumini na waislamu, nasi apendapo Mwenyezi Mungu, tuta kutana nanyi, tuna muomba Mwenyezi Mungu atusamehe, sisi na nyinyi.” [Na Mwenyezi Mungu, awarehemu, wa mwanzo, na wa mwisho] namuomba Mwenyezi Mungu, atupe sisi nanyi afya njema.

Zaker copied