Dua ya kuingia Msikitini.

1

( 20 ) “Najilinda na Mwenyezi Mungu aliye Mtukufu, na kwa uso wake mtakatifu, na kwa utawala wake wa kale, kutokana na shetani aliyeepushwa na rehma za Mwenyezi Mungu, (kwa jina la mwenyezi mungu, na rehma), (na amani zimfikie mtume wa mwenyezi mungu), Ewe mwenyezi mungu nifunguliye milango ya rehema zako” .

Zaker copied