Dua ya wakaazi wanayo muombea anae safiri.

1

( 212 ) “Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.”

2

( 213 ) “Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha Mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.”

Zaker copied