( 13 ) “Nakiri kwa moyo na kusema kwa ulimi kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, peke yake,wala hana mshirika wake, na ninakiri kwamba Muhammad ( ص ) ni mja wake na ni mtume wake.”
( 14 ) “Ewe Mwenyezi Mungu nijaalie niwe miongoni mwa wale wanaoomba msamaha, na nijaalie miongoni mwa wale walio safi.”
( 15 ) “Utakatifu ni wako, Ewe Mola wangu, na shukrani zote zina rudi kwako, nakiri kwamba hapana apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Wewe, naomba msamaha wako, nanarejea kwako (kwaku tubia)”.