Dua anayoomba bwana harusi, au aliyenunuwa chombo cha kupanda (kama mnyama au gari).

1

( 191 ) “Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba kheri ya (mke) huyu, na kheri ya maumbile uliyo muumba nayo, na najilinda kwako na shari yake, na shari ya maumbile ulio muumba nayo.” Na akinunua mnyama atamshika kichwa chake na kisha atasoma dua hii.

Zaker copied