Dua ya Tashahhud

1

( 52 ) Maamkuzi mema, na rehema na mazuri yote, ni kwa Mwenyezi Mungu, amani zishuke juu yako Ewe Mtume, na rehema za Mwenyezi Mungu na baraka zake, amani ishuke juu yetu, na juu ya waja wa Mwenyezi Mungu walio wema, nakiri kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Mwenyezi Mungu, na ninakiri kwamba Muhammad ni mja wake na ni mtume wake.”

Zaker copied