anachosema kwa ajili ya kurudisha (kuzuwia) vitimbi vya mashetani wabaya.

1

( 247 ) “Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyo kamilika ambayo hayapiti mwema wala muovu, na shari ya alicho kiumba, na akakitengeneza, na kukianzilisha. Na shari ya kinacho teremka kutoka mbinguni, na shari ya kinacho panda huko, na shari yakinacho sambaa ardhini, na shari ya inayo toka ndani yake, na shari ya fitna za usiku, naza mchana, na shari ya kila anaye gonga usiku, ila anaye gonga kwa kheri Ewe Mwingi wa Rehema.”

Zaker copied