( 48 ) Mola nisamehe, Mola nisamehe.
( 49 ) Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe, na unirehemu, na uniongoze, na uniungie, na unipe afya, na uniruzuku na uniinue.”