Dua za sijda ya kisomo.

1

( 50 ) Umesujudu uso wangu kumsujudia yule ambae ameuumba na akapasuwa masikio yake, na macho yake, kwa uwezo wake na nguvu zake, {{Ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji}} .”

2

( 51 ) “Ewe Mwenyezi Mungu niandikie kwako kwa sijda hii malipo, na nifutie kwayo madhambi, na ijaalie kwangu mbele yako ni akiba, na nikubalie kama ulivyo mkubalia mja wako Dawud.”

Zaker copied