Dua inayo kingwa nayo watoto.

1

Imepokelewa na Ibn Abbas amesema: alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu akiwakinga wajukuu wake (Hassan na Hussein), akisema: ( 146 ) “Nawakinga kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia, awakinge kutokana na kila shetani, na uvamizi, na kila jicho lenye kudhuru.”

Zaker copied