Dua ya kuogopa kuingia katika ushirikina.

1

( 203 ) “Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najilinda kwako kutokana na kukushirikisha hali ya kuwa najua, na ninakutaka msamaha na nisilolijua.”

Zaker copied