Dua baada ya kumzika maiti.

1

( 164 ) Ewe Mwenyezi Mungu msamehe, Ewe Mwenyezi Mungu mfanye awethabiti.” Mtume (SAW) alikua akimaliza kuzika anasimama mbele ya kaburi na kisha anasema: ‘Muombeeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu ndugu yenu na muombeeni kuthibitishwa kwani hivi sasa anaulizwa. '

Zaker copied