Dua ya wasiwasi usingizini au kusikia uoga na mfazaiko.

1

( 113 ) “Najilinda na maneno ya Mwenyezi Mungu yalio timia, kutokana na hasira zake, na adhabu yake, na shari ya waja wake, na vioja vya mashetani na kuniijia kwao.”

Zaker copied