Dua ya wakati wa kufungua saumu.

1

( 176 ) “Kiu kimeondoka, na mishipa imelainika, na yamethibiti malipo Mwenyezi Mungu akipenda.” Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Amr bin AI Ass ( رضي الله عنه ) amesema: ‘Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (ص ) : ‘Aliyeflmga wakati wa kufuturu kwake, ana dua isiorudishwa. ’

2

( 177 ) “Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kwa rehema zako ambazo zimeenea kila kitu, unisamahe” .

Zaker copied