Vipi alikuwa Mtume (ص) akimsabbih Mwenyezi Mungu.

﷽
1

(266) Imepokewa kutoka kwa Abdallah bin Amru (رضي الله عنه) amesema: ‘Nimemuona Mtume (ص) anahesabu kumsabbih Mwenyezi Mungu kwa mkono wake wa kulia.’

Zaker copied