Dua ya kumtaazi (kumhani) aliyefiliwa.

1

( 162 ) “Kwa hakika nicha Mwenyezi Mungu alicho kichukua, na nichake alicho kitoa, na kila kitu kwake kina muda maalumu, …… (kisha Mtume ( ص) akamwambia), basi vumilia na taka malipo kwa Mwenyezi Mungu.” na akisema: “Ayafanye mengi Mwenyezi Mungu malipo yako, na akufanye kuzuri kutaaziwa (kuhaniwa) kwako na amsamehe maiti wako.” .....basi ni bora.

Zaker copied