(178) Atakapo kula mmoja wenu chakula basi aseme: “Kwa jina la Mwenyezi Mungu.” na akisahau mwanzo wake, basi aseme.‘ “Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwanzo wake na mwisho wake.”
(179) Yoyote ambae Mwenyezi Mungu amemruzuku chakula aseme: “Ewe Mwenyezi Mungu tubariki katika chakula hichi na tulishe bora kuliko hichi.” na yoyote ambae ameruzukiwa maziwa basi aseme: “Ewe Mwenyezi Mungu tubarikie kinywaji hichi na utuzidishie.”