1 1 2. Dua unayomuombea uliyemtukana.

1

lmepokewa kutoka kwa Abu Hurairah amemsikia Mtume ( ص ) akisema: ( 230 ) “Ewe Mwenyezi Mungu, kwa muislamu yoyote yule niliyemtukana, basi fanya kwa hilo litakaemkurubisha kwako, (nithawabu kwake) siku ya Kiyama.”

Zaker copied