Dua ukisikia mlio wa jogoo au wa punda.

1

(228) Amesema Mtume ( ص ): ‘Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake kwani huwa amemuona Malaika, na mkisikia mlio wa punda basi takeni hifadhi kwa Mwenyezi Mungu kwani huwa amemuona shetani. ’

Zaker copied