Dua ya msafiri akishuka sehemu wakati yuko safarini.

1

( 216 ) “Najilinda kwa maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia na shari ya alicho kiumba.”

Zaker copied