Dua ya radi.

1

Alikuwa Abdallah bin Zubeir ( رضي الله عنه ) asakisikia radi basi huacha mazungumzo, badala yake husema: ( 168 ) “Ametakasika yule ambae radi zinamtakasa kwa sifa zake, na malaika pia kwa kumuogopa.”

Zaker copied