Anachosema Muislamu akimsifu Muislamu mwenziwe.

1

(231) Iwapo hakuna budi kwa mtu kumsifu mwenzake basi aseme: 'Namdhania fulani kuwa kadha na kahda….., na Mwenyezi Mungu ndiye atakaye muhisabu wala simtakasi kwa Mwenyezi Mungu yoyote. '

Zaker copied