Kumkumbuka Mwenyezi Mungu wakati wakupanda mlima na wakati wa kushuka.

1

(214) Imepokelewa kutoka kwa Jaabir amesema: Tulikuwa tukipandamlima tunasema: “Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.” Na tukishuka tunasema: “Ametakasika Mwenyezi Mungu.”

Zaker copied