Dua ya aliyeingiwa na wasiwasi katika Swala yake au kisomo chake.

1

( 138 ) “Najilinda na Mwenyezi Mungu, kutokana na shetani aliyelaaniwa. ..kisha utatema vijimate vichache, upande wa kushoto mara tatu. Imepokewa kutoka kwa Uthman lbn Al- Ass ( رضي الله عنه ) amesema: ‘Nilimwambia Mtume; Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu hakika shetani amenikalia kati yangu na kati ya swala yangu na kisomo changu, ananitatiza.’ Akasema Mtume ( ص ) ‘Huyo Ni shetani airwae “Khanzab ukimuhisi amekuijia, basi muombe hifadhi Mwenyezi Mungu nae, natema vijimate vichache kushotoni kwako, mara tatu. ....nika fanya hivyo Mwenyezi Mungu akaniondoshea.

Zaker copied