Dua ya kumfukuza shetani na wasiwasi wake.

1

Mambo yafuatayo yanatakiwa kufuarwa pindi anapotolewa shetani: (141) Kumuomba Mwenyezi Mungu akuhifadhi nae.

2

(142) Kumuadhinia.

3

(143) Kusoma nyiradi zilizopokewa kutoka kwa Mtume ( ص ) na kusoma Qur'ani.

Zaker copied