Dua baada ya Salamu katika Swala ya Witri.

1

( 119 ) “Ametakasika Mwenyezi Mungu, Mfalme, Mtakatifu.” (Mara tatu) Na mara ya tatu anaisoma kwa sauti kubwa na kwa kuivuta. “Ewe Mola wa malaika na wa jibril.”

Zaker copied