Kumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu.

1

Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Sarjis ( رضي الله عنه ) amesema; 'Nilimjia Mtume (S.A..W) nikala katika chakula chake, kisha nikamwambia: “Mwenyezi Mungu akusamehe Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu.” Akaniambia, ( 197 ) “Nawe akusamehe.”

Zaker copied