Dua ya kwenda Msikitini.

1

( 19 ) “Ewe Mwenyezi Mungu, weka katika moyo wangu nuru, na katika ulimi wangu nuru, na katika maskio yangu nuru, na katika macho yangu nuru, na ju yangu nuru, na chini yangu nuru, na kuliani kwangu nuru, na kushotoni kwangu nuru, na mbele yangu nuru, na nyuma yangu nuru, na weka katika nafsi yangu nuru, na nifanyie kubwa nuru, na nifanyie nyingi nuru, nauniwekee mimi num, na unifanye mimi num, Ewe Mwenyezi Mungu nipe nuru, na uweke katika mishipa yangu num, na katika nyama yangu nuru, nakatika damu yangu nuru, na katika nywele zangu nuru, na katika ngozi yangu nuru, [Ewe Mwenyezi Mungu niwekee nuru katika kaburi ya ngu, na nuru katika mifupa yangu] [na unizidishe nuru, na unizidishe nuru, na unizidishe nuru] [na unipe nuru juu ya nuru ] .

Zaker copied