Dua ya kupiga chafya (kuchemua).

1

(188) ‘Akichemua mmoja wenu aseme: “Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.” Mwenzake amwambie: “Mwenyezi Mungu akurehemu.” Kisha naye amjibu: “Akuongoze Mwenyezi Mungu, na akutengenezee mambo yako.”

Zaker copied