(199) ‘Yoyote anaehifadhi kwa moyo aya kumi za mwanzo wa Suratul-Kahf atakuwa na kinga ya kujiepusha na Dajjal. Pia ni katika Sunnah kujilinda na Mwenyezi Mungu kutokana na fitna ya Dajjal baada ya tashahhud ya mwisho katika kila swala.