Dua ya kuingia sokoni.

1

( 209 ) “Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake, hana mshirika, ni wake Ufalme, na ni zake sifa njema, anahuisha na anafisha, nae ni hai asiye kufa, kheri iko mikononi mwake, na Yeye juu ya kila kitu ni Mueza.”

Zaker copied