Utajo katika Mash’arul Haraam (Muzdalifah)

1

(238) Amesema Jaabir ( رضي الله عنه ) kwamba: “Mtume (ص) alimpanda AI-Qaswa (jina la ngamia wake) mpaka alipofika Mash ’arul Haraam (huko Muzdalifah), kisha akaelekea Qiblah, akamuomba Mwenyezi Mungu, akakabbir (akamtukuza), akaleta Tahlil (akamsifix), na akampwekesha. Hakuacha kusimama mpaka kulipopambazuka ndipo alipoondoka, kabla ya kutoka jua. ’

Zaker copied