Alikuwa Mtume (ص ) akisema baina yake: ( 235 ) “Ewe Mwenyezi Mungu tupe katika dunia hii wema, na katika akhera wema, na utukinge na adhabu ya moto.”