Dua unayo muombea aliyevaa nguo mpya.

1

( 7 ) Itakwisha (kwa kuzeeka na kupasuka) na Mwenyezi Mungu atakupa nyingine.”

2

( 8 ) Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru, na kufa hali ya kuwa ni shahidi.”

Zaker copied