Dua ya kumfunga macho maiti.

1

( 155 ) “Ewe Mwenyezi Mungu msamehe – ( jina la maiti) - na ipandishe daraja yake katika walioongoka, na weka badili yake kwa aliyoyawacha nyuma, na utusamehe sisi na yeye Ewe Mola wa viumbe vyote, na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake.”

Zaker copied