Dua ya msafiri unapoingia usiku.

1

( 215 ) “Amesikia msikilizaji kusifiwa kwa Mwenyezi Mungu, na uzuri wa neema zake juu yetu. Mola wetu kuwa nasi na tufadhilishe, hali ya kuwa tunajilinda na Mwenyezi Mungu kutokana na moto.”

Zaker copied