Dua ya kuona mwezi unaponaama (unapo andaama)

1

( 175 ) “Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu uanzishe kwetu kwa amani, na imani na usalama na uislamu, na taufiq ya kile unachokipenda Mola wetu na kukiridhia, Mola wetu na Mola wako ni Mwenyezi Mungu.”

Zaker copied